Maisha
Rais Ndayishimiye: Rwanda inapanga kuishambulia Burundi
Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye amesema anayo taarifa za kiintelijensia zinazoonesha kuwa Rwanda inakusudia kushambulia nchi yake. Aidha, ametaja jaribio la mapinduzi ...Ndege yalazimika kugeuza baada ya rubani kusahau pasipoti yake
Ndege ya United Airlines aina ya Boeing 787 iliyokuwa ikisafiri kutoka Los Angeles hadi Shanghai ililazimika kurejea nyuma takriban saa mbili baada ...Nchi 10 za Afrika zenye furaha zaidi mwaka 2025
Furaha ni hisia ya utulivu na kuridhika inayotokana na hali nzuri ya maisha, mafanikio, au upendo kutoka kwa wengine. Lakini ukweli ni ...Majaliwa: wafanyabiashara endeleeni kuwa na imani na Rais Samia
WaziriMkuu, Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini kuendelea kuwa na imani na Rais Samia Suluhu Hassan kwani amedhamiria kutatua changamoto zinazohusu ...Wizara ya Maji yapongezwa kwa kufikisha huduma ya maji kwa wananchi wengi
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Wizara ya Maji kutokana na kasi ya utendaji wake katika sekta ya maji nchini na ...Waandishi wa Habari 18 washambuliwa na wanajeshi Uganda
Waandishi wa habari 18 wamedai kushambuliwa vikali na wanajeshi wa Uganda pamoja na maafisa wa kikosi cha kupambana na ugaidi katika eneo ...