Maisha
Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini
Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya ...Uingereza yatangaza kusitisha baadhi ya misaada Rwanda kutokana na mapigano DRC
Uingereza imetangaza kusitisha baadhi ya misaada yake ya kifedha kwa nchi ya Rwanda pamoja na kuweka vikwazo vya kidiplomasia kwa serikali ya ...Dkt. Ndumbaro: Tanzania imeweka kipaumbele katika usimamizi wa haki za binadamu
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) amesema nchi ya Tanzania imeendelea kuweka kipaumbele katika uendelezaji na ulinzi wa Haki ...Watu 26 kutoka LBL mbaroni kwa kujihusisha na biashara ya upatu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu 26 wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kuwa ...Watu 25 walazwa hospitalini kwa kula kibudu cha ng’ombe
Watu ishirini na tano wamelazwa hospitalini baada ya kula nyama ya ng’ombe aliyekufa katika eneo la Masindoni, Chepalungu, Kaunti ya Bomet nchini ...Polisi: Aliyeonekana akikamatwa kwa nguvu, alikuwa akikaidi kukamatwa
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi wa video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha mwendesha pikipiki akikamatwa kwa nguvu na Polisi Februari 20, ...