Maisha
Madereva Kenya wakimbilia Tanzania kununua mafuta
Madereva kutoka nchini Kenya wanalazimika kukimbilia nchini Tanzania kununua mafuta ya petroli na dizeli kutokana na unafuu uliopo nchini ukilinganishwa na bei ...Tanzania yaamriwa kufuta adhabu ya viboko
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imetoa agizo kwa Serikali ya Tanzania kufuta adhabu ya viboko kwa wanaotiwa ...Mambo 8 ya kuzingatia unapoomba leseni ya udereva kwa mara ya kwanza
Kuomba leseni ya udereva kwa mara ya kwanza ni hatua muhimu katika kuanza safari yako ya kuwa dereva. Kama unahitaji kuendesha chombo ...Nigeria: Gharama za maisha zapelekea wananchi kutumia magari yao kufanyia biashara
Kutokana na kuendelea kudorora kwa uchumi wa Nigeria, wananchi nchini humo wameendelea kubuni njia zitakazorahisisha upatikanaji wa pesa kwa kugeuza magari yao ...EWURA yavifungia vituo vingine vitatu vya mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imevifungia vituo vitatu vya mafuta kwa muda wa miezi sita baada ya ...Kijana afariki alipokuwa akiwakimbia askari
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Mkacha Mohamed (35) mkazi wa Soya wilaya ya Chemba mkoani Dodoma amefariki dunia baada ya kuanguka ...