Maisha
Kwanini simu hulipuka? Hizi ni baadhi ya sababu
Kulipuka kwa simu ni tukio hatari ambalo limeathiri watu wengi na kusababisha madhara makubwa. Hali hii inaweza kusababisha uharibifu wa mazingira, vifaa ...Daktari: Kusukutua baada ya kupiga mswaki ni hatari kwa meno
Daktari Nasriya Ali kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke amesema moja ya makosa yanayofanyika na kuchochea matatizo ya meno ni kusukutua ...Video ya Enjoy ya Jux na Diamond yaondolewa Youtube
Video ya wimbo ‘Enjoy’ wa mwanamuziki Juma Jux aliyomshirikisha Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnum’ imeondolewa kwenye mtandao wa YouTube kwa sababu ya ...Ufaransa yapiga marufuku iPhone 12
Mamlaka nchini Ufaransa imeagiza kampuni ya teknolojia ya Apple kuacha kuuza simu ya iPhone 12 kutokana na viwango vya mionzi kuwa juu ...Polisi watilia shaka kujinyonga kwa mwenye ulemavu wa mikono na miguu
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linasema linatilia shaka tukio la kujinyonga kwa binti Samia Ahmed Mohamed (20) mkazi wa Kijiji cha Sinde ...Nchi 10 za Afrika zenye bei ya Juu zaidi ya mafuta kwa Septemba
Tangu mwanzo wa mwaka huu, ulimwengu umekutana na changamoto za kiuchumi ambazo zina athari kubwa kwa wananchi wa kawaida. Viwango vya mabadiliko ...