Maisha
Watu 10,000 wahofiwa kupotea kutokana na mafuriko nchini Libya
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu (IFRC) limebainisha kwamba takriban watu 10,000 wanahofiwa kupotea kutokana na mafuriko makubwa nchini Libya. ...Shirika la ndege Japan kukodisha nguo kwa wasafiri kupunguza mizigo
Shirika la ndege la Japan Airlines limezindua jaribio la kutoa huduma inayowaruhusu wasafiri kuagiza nguo wanazohitaji kwa ajili ya likizo yao nchini ...BoT: Unaporudishiwa fedha chakavu usikatae
Kufuatia kuwepo kwa mivutano katika huduma mbalimbali za umma pindi mwananchi anaporudishiwa pesa iliyo chakavu, Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeshauri wananchi ...Matumizi ya bangi Kenya yaongezeka mara dufu
Utafiti mpya uliotolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi Mabaya ya Pombe na Madawa ya Kulevya nchini Kenya (NACADA) unaonyesha ...Serikali Kenya yapunguza gharama ya umeme
Kufuatia malalamiko mengi kutoka kwa wateja nchini Kenya kuhusu bei ghali ya umeme, sasa Wakenya wanafurahia kupunguzwa kwa bei ya tokeni za ...Mambo 7 yanayosababisha mtu kuongea akiwa usingizini
Kuongea usingizini ni hali ambayo watu wanaweza kutoa maneno au sauti wakiwa wamelala. Hali hii inaweza kutofautiana kwa kiasi kikubwa kwa kila ...