Maisha
Vinywaji 5 vinavyosababisha ngozi kuzeeka
Kila mtu anapenda kuonekana akiwa na ngozi nzuri yenye kupendeza. Hata hivyo, baadhi ya watu hawafahamu kuwa baadhi ya mazoea yanaweza kuwa ...Baba, Paroko wakamatwa wakiwa na viungo vinavyodhaniwa ni vya mtoto albino aliyeuawa Kagera
Kufuatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa kwa mtoto Asimwe Novart (2) mwenye ulemavu wa ngozi aliyeporwa na watu wasiojulikana katika Kijiji cha Bulamulaa ...Muuguzi aliyeshindwa kumsaidia mjamzito kujifungua asimamishwa kazi
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, Fred Milanzi amemsimamisha kazi muuguzi wa Zahanati ya Basanza, Alex Lyimo ili kupisha ...Mambo 6 yanayoweza kutokea unapokuwa hushiriki kufanya mapenzi kwa muda mrefu
Kushiriki kufanya mapenzi si tu shughuli ya kufurahisha kimwili, bali pia ina athari kubwa kiafya ambazo zinaweza kuwa na faida kubwa kwa ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kuwanajisi watoto wake mapacha
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Hamad Kapera (20) mkazi wa Kilosa mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuwanajisi watoto wake mapacha wenye ...Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka na kumpa ujauzito mtoto wa shemeji yake
Mahakama ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Michael Mchanjale (31) kwa kosa la kumbaka na kumpa ...









