Maisha
Dkt. Mpango: Amani na usalama ni nguzo muhimu kwa mifumo ya chakula
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu mataifa ya Afrika na dunia kwa ujumla kutumia njia za usuluhishi wa amani ...Watanzania watano wafariki kwenye ajali ya moto Afrika Kusini
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amethibitisha vifo vya Watanzania watano katika ajali ya moto uliozuka kwenye jengo ...Rais Samia aitaka Posta iendane na wakati na mahitaji ya soko
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na maendelo ya mwanadamu yanavyozidi kushika kasi, mfumo wa posta nao hauwezi kubaki kama ulivyokuwa katika ...Je, wanyama huhisi uchungu wakati wa kuzaa?
Wanyama wengi wanaweza kupitia uchungu mkubwa wakati wa kuzaa kama vile wanavyofanya wanawake. Hii ni sehemu ya mchakato wa uzazi wa wanyama ...Tanzania yashika nafasi ya pili unywaji pombe Afrika
Baadhi ya tamaduni huona unywaji pombe kuwa jambo la kufurahisha, ilhali tamaduni nyingine huona ulevi kuwa ni dhambi. Mwaka 2019 Shirika la ...Kontawa ajisalimisha jeshini, aomba kujiunga JKT
Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ amejisalimisha jeshini Lugalo jijini Dar es Salaam kurudisha mavazi yanayofanania na mavazi ya ...