Maisha
Mahakama yamhukumu miaka 90 kwa ubakaji
Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka 90 Leonce Athanas Matea maarufu ‘Alaji’ (55), mkazi wa Chicago A’ ...Bashungwa: Taharuki iliyotengenezwa ya vivuko Kigamboni ni kwa maslahi binafsi
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wakazi wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya ...Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kupora simu
Mahakama mkoani Lindi imemhukumu miaka 30 jela mkazi wa Kata ya Ndoro, Manispaa ya Lindi, Naibu Ally (20) baada ya kukutwa na ...TAKUKURU yabaini watumishi wawili Arusha wameghushi nyaraka
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha imebaini watumishi wawili kuhusika kughushi nyaraka ikiwemo kutengeneza namba bandia ya ...Wanne wakamatwa Arusha kwa kusafirisha punda nje ya nchi
Jeshi la Polisi Kikiosi cha Kupambana na Kuzuia Wizi wa Mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido ...Tanzania yajidhatiti kuendelea kukuza amani na usalama Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jitihada za pamoja ni muhimu katika kukabiliana na changamoto za kiusalama zinazokabili Bara la Afrika na katika ...









