Maisha
Marais wa Afrika waliopoteza maisha kwa ajali ya ndege
Tukio la ajali mbaya ya helikopta iliyomhusisha Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na maafisa wengine, limeleta majonzi makubwa kwa taifa hilo. Ajali ...Askofu adaiwa kujinyonga kisa madeni
Katika hali isiyo ya kawaidia, Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist Tanzania, Askofu Joseph Bundala (55) amekutwa amejinyonga katika ofisi za kanisa ...Tabia 6 wanazoonesha wanaume ambao hawana furaha maishani
Kutokuwa na furaha ni hali ambayo inaweza kuathiri sana maisha ya mtu, lakini mara nyingi inaweza kufichwa nyuma ya tabia na mienendo ...TMA yatangaza uwepo wa kimbunga IALY
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga ‘IALY’ katika Bahari ya Hindi Kaskazini mwa kisiwa cha ...RC aamuru walimu waliogomea uhamisho kuripoti haraka kazini
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha amewaamuru walimu wawili wa shule ya Msingi ya Mabatini, iliyopo Manispaa ya Tabora, Juma Mahundi ...Dawa za kulevya kilogramu milioni 1.96 zakamatwa nchini mwaka 2023
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola imefanikisha kukamata jumla ya kilogramu ...









