Maisha
Mwanafunzi ashikiliwa kwa kuchoma moto madarasa
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Yesse Charles (17), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Lyela, kwa tuhuma za ...Dar es Salaam hupoteza trilioni 1.4 kutokana na foleni
Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema kwa wastani jiji la Dar es Salaam linapoteza ...Tanzania imevuka wastani wa unywaji pombe Afrika
Serikali imesema takwimu zinaonesha Tanzania inaongoza kwa matumizi ya unywaji pombe barani Afrika huku watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 wakitumia ...Bei ya mafuta Kenya yazidi kupanda
Bei ya mafuta nchini Kenya inaendelea kuongezeka, hii ni kulingana na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) ambayo imefanya marekebisho ...Akamatwa kwa tuhuma ya kumuua mumewe kwa rungu akiwa amelala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Aurelia Kalolo (40), mkazi wa Kijiji cha Ukumbi, Wilayani Kilolo, kwa tuhuma za kumuua mume ...Biteko asema Serikali itapitia upya bei za mafuta
Dar es Salaam, Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dotto Biteko, ameeleza kuwa Watanzania wamekuwa wakisikitishwa na mzunguko wa bei ...