Maisha
Anayedaiwa kumchoma kisu mpenzi wake asomewa mashitaka akiwa wodini
Said Selemani (32), mkazi wa Arusha akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure, amesomewa shitaka la ...Mkurugenzi Ilemela: The Cask Bar haina leseni ya kuuza chakula wala vileo
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetangaza kuifungia baa maarufu inayojulikana kama The Cask Bar & Grill iliyoko jijini Mwanza kwa muda wa ...Nape: Dkt. Slaa na wenzake wamekamtwa kwa tuhuma za uhaini, si vinginevyo
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hakuna mtu yeyote nchini ambaye amekamatwa au atakamatwa kwa kutoa maoni ...Kampuni ya Sola Yazindua Kampeni ya Matumizi ya Nishati Safi
Katika kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola d.light Tanzania Limited imezindua kampeni mpya ...Wanahabari na watumishi wa Serikali washambuliwa na Morani Ngorongoro
Timu ya Waandishi wa habari na watumishi wa Serikali wamejeruhiwa na vijana zaidi ya 200 wa jamii ya Kimasai (Morani) jioni ya ...ACT yataka Dkt. Slaa na wenzake wapelekwa mahakamani au waachiwe huru
Chama cha ACT Wazalendo kimelitaka Jeshi la Polisi kuwaachia huru bila masharti yoyote au kuwapeleka mahakamani Wakili Boniphace Mabukusu, Mpaluka Nyagali na ...