Maisha
Mchungaji ahukumiwa miaka 70 kwa kubaka watoto
Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili ...Mtanzania atekwa Nigeria, wataka milioni 170 kumuachia huru
Frateri Mtanzania atekwa Nigeria, wataka milioni 170 kumuachia huru Frateri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na ...Kenya: Makaburi yagundulika kanisani, mapya yaibuka
Timu ya usalama kutoka taasisi mbalimbali nchini Kenya imegundua makaburi manne katika kanisa moja jijini Kisumu ambapo kulikuwa na watu wanaosadikiwa kuwa ...Dkt. Mpango: Wapangaji lipeni kodi kwa wakati kuepuka usumbufu
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wapangaji wanaotumia nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuzingatia masharti ya mkataba ...MOI: Hatuwakati miguu bodaboda kwa makusudi
Mkurungenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo (MOI), Prof. Abel Makubi amekanusha dhana iliyojengeka juu ya bodaboda kukatwa miguu wanapofikishwa hospitalini ...