Maisha
Je, wanyama huhisi uchungu wakati wa kuzaa?
Wanyama wengi wanaweza kupitia uchungu mkubwa wakati wa kuzaa kama vile wanavyofanya wanawake. Hii ni sehemu ya mchakato wa uzazi wa wanyama ...Tanzania yashika nafasi ya pili unywaji pombe Afrika
Baadhi ya tamaduni huona unywaji pombe kuwa jambo la kufurahisha, ilhali tamaduni nyingine huona ulevi kuwa ni dhambi. Mwaka 2019 Shirika la ...Kontawa ajisalimisha jeshini, aomba kujiunga JKT
Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ amejisalimisha jeshini Lugalo jijini Dar es Salaam kurudisha mavazi yanayofanania na mavazi ya ...Rais Samia awataka viongozi kutotumia vyeo kunyanyasa watu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko aliyoyafanya ya viongozi mbalimbali Serikalini si adhabu kwa viongozi hao, bali yanalenga kuimarisha maeneo mbalimbali kwa ...Wanaoweka kope bandia, lenzi hatarini kupoteza uwezo wa kuona
Wanawake wanaoweka kope bandia na wanaovaa lenzi za miwani bila kupima wako katika hatari ya kupata matatizo makubwa ya kuona kiasi cha ...Wananchi Gabon waunga mkono mapinduzi, Rais aomba msaada
Baada ya wanajeshi nchini Gabon kutwaa mamlaka ya nchi hiyo wakibatilisha matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais Ali Bongo, Rais Bongo ameonekana ...