Maisha
Jeshi la Polisi lawapongeza wananchi kwa kuwapuuza wachochea vurugu
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema hali ya usalama ni shwari kote nchini Tanzania na shughuli za kiuchumi na kijamii ...Familia 5 zenye nguvu zaidi Barani Afrika mwaka 2025
Nguvu barani Afrika haiko tu kwa marais au mabilionea binafsi, bali mara nyingi imo ndani ya familia zinazotawala siasa, biashara, utamaduni na ...DAWASA: Kuchelewa kwa mvua kumechangia upungufu wa maji Dar
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetangaza upungufu wa huduma ya maji katika maeneo yanayohudumiwa na mtambo ...Polisi yapiga marufuku maandamano ya Desemba 9
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga ...Kesi ya Mange Kimambi yaahiridhwa hadi Januari, 2026
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati wa Tanzania anayeishi Marekani, Mange Kimambi hadi Januri 28 2026. ...Polisi waanza uchunguzi kutoweka kwa Mtawa Morogoro
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limesema linachunguza taarifa ya kutoonekana kwa Mtawa, Silianus Balyalemwa Korongo (49) ambaye ametoweka kutoka kwenye nyumba ya ...








