Maisha
Ajifungua mahakamani baada ya kuachiwa kwa tuhuma za mauaji
Virginia Maingi amejifungua katika mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya mahakama hiyo kumwachia huru kwa tuhuma za mauaji. ...Profesa Nyahongo: Miaka mitano ijayo wakazi wa Dar watatembea na oksijeni
Profesa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo ametoa tahadhari kuwa katika miaka mitano ijayo wakazi wa Dar es Salaam watalazimika ...Fahamu chanzo cha mgogoro kati ya Iran na Israel
Mgogoro kati ya Iran na Israel ni sehemu ya mizozo ya muda mrefu katika eneo la Mashariki ya Kati. Mizizi ya mgogoro ...Mtoto ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake Njombe
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia mtoto wa miaka 12 kwa tuhuma za kumlawiti ...Mwanamke afukuzwa na wanakijiji kwa tuhuma za uchawi
Mwanamke mwenye umri wa takribani miaka 60, mkazi wa Kitongoji cha Ipapa kilichopo Kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, amefukuzwa ...Rais Samia: Serikali itafanya uchunguzi ili kudhibiti mafuriko
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na mvua zinazoendelea kuleta athari katika baadhi ya maeneo hapa nchini Serikali inakwenda kufanya uchunguzi wa ...









