Maisha
Utafiti: Ni kweli matajiri wanasumbuliwa na upweke?
Utafiti uliofanywa na watafiti Maike Luhmann na Louise Hawkley unaonyesha kwamba watu wenye kipato kikubwa mara nyingi hawatumii muda mwingi na watu, ...Hatua 6 za kufuata kama unataka kuacha tabia usiyoipenda
Kubadili tabia usiyoipenda ni mchakato unaohusisha kutambua, kuelewa, na hatimaye kurekebisha tabia ambazo unahisi zinakuzuia au hazipatani na maadili, malengo, au hali ...Serikali yaja na mbinu za kuongeza akiba ya dola nchini
Kutokana na upungufu wa dola unaozikumba nchi mbalimbali hivi sasa, Serikali imesema imeanza kutekeleza sera ya fedha ya kununua dhahabu kupitia Benki ...Bosi wa uwanja wa ndege Kenya atimuliwa baada ya umeme kukatika
Waziri wa Uchukuzi nchini Kenya, Kipchumba Murkomen amefuta mkataba wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege vya Kenya (KAA), Alex ...Ashikiliwa kwa kumwagia maji ya moto mke mwenzake msibani
Mkazi wa Kata ya Lugata, Kisiwa cha Kome wilayani Sengerema, Vumilia Kasembo (32) anashikiliwa na Ofisi ya Mtendaji wa Kata kwa madai ...Ommy Dimpoz afunguka ukaribu wake na Diamond
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama ‘Ommy Dimpoz’ amesema kwamba msanii mwenzake Diamond Platnumz hakuhusika na tatizo lake ...