Maisha
Mpiga kinubi aweka rekodi ya dunia Mlima Kilimanjaro
Mpiga kinubi maarufu kutoka nchini Ireland, Siobhan Brady ameweka rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kupiga kinubi kwa dakika 34 akiwa kileleni ...Raila Odinga asitisha maandamano ya Jumatano
Chama cha Azimio La Umoja One Kenya kimesimamisha maandamano yake dhidi ya serikali yaliyokuwa yamepangwa kufanyika nchi nzima siku ya Jumatano wiki ...Fahamu magonjwa 8 yanayotibiwa kwa papai
Ulaji wa matunda si muhimu tu kwa ajili ya virutubisho mwilini, bali ni tiba inayosaidia kupambana na magonjwa mbalimbali. Moja ya matunda ...TANAPA yatangaza gharama ya milioni 5 kwa anayetaka kumpa mnyama jina
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema imeanzisha programu ya kuwapa majina baadhi ya wanyama waliopo kwenye Hifadhi za Taifa kwa yeyote ...Mwanza: Watu sita wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi
Watu sita wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Hilux namba T476 DZL wakati ...Makosa 8 ya kuepuka unapoandika barua ya kuomba kazi
Kuandika barua ya kazi ni hatua muhimu katika kutafuta ajira au kuwasiliana na mwajiri. Ni vyema kuzingatia mambo kadhaa ili kuhakikisha barua ...