Maisha
Mjamzito afariki kwa kuongezewa damu kimakosa mkoani Tanga
Watumishi watano wa Kituo cha Afya Mikanjuni wamesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi baada ya kudaiwa kufanya uzembe na kusababisha kifo cha mjamzito, ...Serikali ya Zanzibar yalaani unyanyasaji unaofanyika kwa sababu za kidini
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imelaani vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kufanyika sehemu mbalimbali visiwani humo katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu ...Polisi waanza uchunguzi tukio la kushambuliwa kwa Ole Sendeka
Jeshi la Polisi limeanza uchunguzi juu ya tukio la kushambuliwa kwa risasi gari la Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka akiwemo ndani ...Watu 11 wa ‘Tuma kwa namba hii’ wahukumiwa jela miaka mitatu
Watu 11 wakazi wa Ifakara mkoani Morogoro wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni 6 kwa kila ...Watu 12 wakamatwa Zanzibar kwa kula hadharani kipindi cha mfungo
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja linawashikilia watu 12 kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani katika kipindi hiki cha ...








