Maisha
Rais Samia: Ripoti za CAG zinaimarisha utendaji serikalini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kila mwaka zinachangia kuimarisha na kuboresha ...DART yawasimamisha kazi watumishi kisa vurugu za abiria na madereva Kivukoni
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imewasimamisha kazi watumishi akiwemo Msimamizi wa Kituo cha Kivukoni, Shabani Kajiru, Afisa Ufuatiliaji wa Kituo, Brown ...NMB yafuturisha Dar, Waziri Mkuu azitaka Serikali za Mitaa, Taasisi zijifunze kwao
BENKI ya NMB imewafuturisha wateja wake walio kwenye Mfungo wa Mwezi Ramadhani jijini Dar es Salaam, pamoja na kutoa misaada kwa vituo ...Mahakama yafuta kesi ya Wakili Madeleka kwa kushindwa kuiendesha
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha imeridhia kufuta maombi ya Wakili Peter Madeleka ya kufungua shauri dhidi ya Kamati ya Maadili ...MOI: Asilimia 60 wanaopata ajali za bodaboda wanaathiri ubongo
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Abel Makubi amesema asilimia 60 ya majeruhi wa ajali hasa ajali zinazohusiana ...









