Maisha
Mawasiliano ya barabara katika Daraja la Somanga yarejea
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesema mawasiliano ya barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara ...Ndugu wajiua baada ya baba yao kumpa shamba mke wake wa zamani
Kisa cha kustaajabisha kimeripotiwa katika kijiji cha Kapsilibwa huko Sagamian, Kaunti ya Narok nchini Kenya baada ya ndugu wawili kukatisha maisha yao ...Sababu za Waafrika wengi kubaguliwa sana Italia
Katika utafiti uliofanywa hivi karibuni nchini Italia, ambao umeonyesha kiwango cha juu cha ubaguzi unaowakabili Waafrika wanaoishi nchini humo, imekuwa dhahiri kuwa ...Tanzania yapokea trilioni 1.4 kukabiliana na Malaria, TB na UKIMWI
Serikali imepokea Dola za Kimarekani milioni 602, sawa na trilioni 1.4 za Kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua ...Mwandishi wa habari wa Reuters jela kwa kueneza habari za uongo
Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imemhukumu kwenda jela miezi sita mwandishi wa habari wa nchini humo, Stanis Bujakera baada ya ...Sudan Kusini yafunga shule zote kutokana na joto kali
Serikali ya Sudan Kusini imechukua hatua za haraka kwa kufunga shule zote kwa muda usiojulikana kutokana na wimbi la joto ambalo linatishia ...









