Maisha
Picha za matukio ya maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT
Picha za matukio mbalimbali ya kilele cha maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yanayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ...Waziri Ummy atoa tamko kuhusu mtumishi aliyeosha vifaa vya hospitali kwa maji baridi
Kufuatia kipande cha video kinachosambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonesha mtumishi wa afya katika hospitali ya Kivule akisafisha vifaa vya hospitali hiyo ...DC Mtatiro avunja ndoa ya msichana aliyechaguliwa kidato cha tano
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kimila iliyokuwa imefungwa kinyemela baina ya kijana mmoja ajulikanaye kama ‘Muddy Muuza ...Majibu 8 kuhusu programu mpya ya ‘Threads’ inayoshindana na Twitter
‘Threads’ ndiyo programu inayoongelewa zaidi kwa sasa kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya Meta, Mark Zuckerberg na kuzusha mjadala mkubwa ikiwa programu ...Serikali ya Uganda yaagiza kufungwa kwa tovuti za ngono
Serikali ya Uganda imetoa agizo kwa watoa huduma za mtandao kuzuia tovuti za ponografia ili kuwalinda vijana wa taifa hilo kutokana na ...Watu milioni 10 wajiunga Threads ndani ya saa 7, yaahidi kuipita Twitter
Watumiaji milioni 10 wamejisajili kwenye programu tumizi ya ‘Threads’ iliyozinduliwa na kampuni ya Meta katika kipindi cha saa saba tangu kuzinduliwa kwake. ...