Maisha
Polisi: Tunamshikilia British, hajatekwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang’era Kemange maarufu British, mkazi wa Kijiji ...Mange Kimambi ashtakiwa kwa kutakatisha fedha, adai Serikali inapanga kumrejesha nchini
Mwanaharakati Mange Kimambi anayeishi nchini Marekani amefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi nchini Tanzania, akidaiwa kutakatisha TZS milioni 138.5. Kwa mujibu wa hati ...Rais Samia: Vurugu zilitengenezwa ili kuangusha Dola
Rais Samia Suluhu Hassan amesema matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yalikuwa ni ...Mahakama kuamua usikilizwaji wa shauri kuhusu kufutwa sherehe za Uhuru
Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma, leo inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo kuhusu usikilizwaji wa shauri la Wakili Peter Madeleka dhidi ya Rais wa ...








