Maisha
CHADEMA Igunga wampongeza Rais Samia kwa kutatua changamoto zao
Wananchi wa Kata ya Mwisi Wilayani Igunga mkoani Tabora, wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ...RC Chalamila aiagiza DART kufanya kazi saa 24
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kuangalia namna ya kuongeza muda wa ...Akamatwa kwa madai ya kuponya UKIMWI kwa kitunguu
Mtu mmoja nchini Uganda anayejulikana kwa jina la Dkt. David Ssali amekamatwa na polisi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kitaifa ya Dawa ...Mwanasheria Mkuu: Kuna upotoshaji mkubwa suala la bandari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amesema kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mijadala inayoendelea kuhusu suala la uwekezaji ...Rais Samia: Maboresho yanayoendelea bandarini yatazuia dawa za kulevya
Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho yanayoendelea kufanyika katika bandari za nchini yatajumuisha ufungaji wa mitambo ya kisasa itakayosaidia kubaini shehena zinazopitishwa ...Kinywaji cha ‘kuongeza’ nguvu za kiume chapigwa marufuku
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala limepiga marufuku uingizaji, usambazaji, uuzaji na utumiaji wa dawa ya asili inayotumika kama kinywaji hususani ...