Maisha
Wajane waomba msaada kupambana na afya ya akili
Wajane nchini wameiomba Serikali kuwapatia msaada wa kisheria ili kupata haki zao na kusaidiwa huduma ya afya ya akili ili kudhibiti msongo ...Baba Jose alimtambulisha Ester kuwa mkewe na anaitwa Erica
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema mwanafunzi Ester Noah aliyepotea amekutwa akiwa katika chumba cha kupanga cha mwanamke aitwaye Azurat Abdul ...Mwanafunzi Esther aliyepotea shuleni apatikana
Mwanafunzi wa Sekondari ya Panda Hill iliyoko mkoani Mbeya, Ester Noah Mwanyilu aliyepotea Mei 18, mwaka huu amepatikana katika eneo la Ifisi, ...Nchi 10 ambazo watu wake wanaongoza kupata ‘depression’
Sonona (depression) ni ugonjwa wa afya ya akili ambao unaweza kuathiri jinsi watu wanavyofikiri, kuhisi, na kutenda, na huathiri takribani watu milioni ...Mwanafunzi wa kike atoweka Mbeya, aacha ujumbe kumhusu Mwalimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameamuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi ...Zanzibar kupiga marufuku shisha na sigara za kielektroniki
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepanga kupiga marufuku uagizaji na utumiaji wa Shisha na E-sigara ikidai kuwa inatumika hovyo katika maeneo mbalimbali ...