Maisha
Polisi wawasaka wazazi wa mwanafunzi aliyeolewa
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limesema linaendelea kuwasaka wazazi wa mwanafunzi Rachel Fungai ambaye sherehe ya ndoa yake ilizuiwa baada ya kuolewa ...Rais Samia awapa Machinga kiwanja na milioni 10 kujenga ofisi
Shirikisho la Umoja wa Machinga wilayani Kahama mkoani Shinyanga limekabidhiwa kiwanja chenye hatimiliki pamoja na TZS milioni 10 ambazo zimetolewa na Rais ...Watu 10 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Tanga
Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu watu 10 adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji ya aliyekuwa mlinzi wa ofisi ...Utafiti Mpya: Unywaji pombe wa wastani hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo
Uafiti umeonesha kuwa watu wanaotumia kiwango cha wastani cha pombe chini ya chupa moja kwa siku kwa wanawake, na chupa moja hadi ...Waziri Mkuu: Hatutadharau maoni ya wananchi kuhusu bandari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa ...BoT: Ni marufuku kukataa malipo kwa shilingi ya Tanzania
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema hakuna mtu au kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa shilingi ya Tanzania kwa malipo yoyote halali, kwani ndiyo ...