Maisha
Rais Samia asema usasa unawaharibu vijana
Kutokana na takwimu za Sensa iliyofanyika mwaka 2022 kuonesha kuwa idadi ya vijana ni kubwa zaidi nchini, Rais Samia Suluhu Hassan amewapa ...Nyama ya Tanzania kuanza kuuzwa nchini Misri
Nyama ya Tanzania inatarajia kuanza kuuzwa nchini Misri kabla ya sikukuu ya Eid al Hajj ambapo takribani tani 100 zinatarajia kusafirishwa ili ...Sakata la kelele, Waziri Mkuu atoa maagizo kwa wakuu wa mikoa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa nchini kukaa na mabaraza ya biashara na wamiliki wa kumbi za starehe katika mikoa ...Balozi aliyewafananisha Waafrika na nyani arudishwa kwao
Romania imemrudisha nyumbani balozi wake kutoka nchini Kenya, Dragos Tigau na kuomba msamaha baada kuwalinganisha Waafrika na nyani. Balozi huyo alitoa maneno ...Rais Samia atengua uteuzi viongozi wa juu ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu akichukua nafasi ya Angela Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ...Watoto wanne walionusurika ajali ya ndege wapatikana msituni hai baada ya siku 40
Watoto wanne wamepatikana wakiwa hai baada ya kunusurika kwenye ajali ya ndege na kukaa kwa siku 40 wakijihudumia katika msitu wa Amazoni ...