Maisha
Walioiba milioni 47 na kuficha benki wakamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Manyara linawashikilia Juma Athumani (23) na Mariam Mbega (26) kwa tuhuma za kuvunja nyumba na kuiba TZS milioni ...Tamko la ACT-Wazalendo kuhusu suala la uendeshaji wa bandari kwa kushirikiana na sekta binafsi
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/Statement-Mkataba-wa-Bandari-4.pdf” title=”Statement-Mkataba wa Bandari (4)”]Fei Toto amshukuru Rais Samia kujiunga rasmi Azam FC
Mchezaji mpya wa Azam FC, Feisal Salum (Fei Toto) amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha kuweza kuachana na timu yake ya ...Dkt. Tulia ayaonya Nipashe na The Guardian upotoshaji suala la Bandari
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amekanusha habari zilizochapishwa na magazeti ya Nipashe na The Guardian vikieleza kuwa bunge limeridhia ...EWURA yatangaza bei mpya za mafuta kuanzia Juni 7
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/Cap-Prices-wef-7th-June-2023-Kiswahili_230606_205138-3.pdf” title=”Cap Prices wef 7th June 2023 – Kiswahili_230606_205138 (3)”]Hospitali ya Muhimbili yapiga marufuku mifuko ya plastiki
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki katika mazingira ya hospitali ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ...