Maisha
Rais Samia awafuta machozi wananchi wa Ukerewe
Wizara ya Afya imesema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuona changamoto wanayopitia wananchi wa Ukerewe ya kukosa huduma bora za afya ...Masharti ya Benki Kuu Tanzania kwa wanaofanya biashara ya fedha za kigeni
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amepiga marufuku taasisi zinazofanya biashara ya fedha za kigeni na madalali wa kimataifa wa ...Aliyekuwa DC Tabora Mjini kufungua shauri kupinga uamuzi wa Rais Samia kumstaafisha
Mahakama Kuu Masijala Kuu imemruhusu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini, Komanya Kitwala kufungua shauri la mapitio ya mahakama kupinga uamuzi ...UVIKO-19 na vita ya Ukraine vyakwamisha majaribio ya SGR Dar-Morogoro
Serikali imesema kazi ya utengenezaji wa vichwa vya treni ya reli ya kisasa (SGR) haukukamilika kwa wakati kutokana na watengenezaji kupata changamoto ...Shitaka linalomkabili mume anayedaiwa kumtoboa macho na kumng’oa jino mkewe
Mwanaume anayedaiwa kumshambulia mke wake, kumtoboa macho na kumng’oa jino, Isack Robertson (45) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha. Mtuhumiwa huyo ...Serikali kujenga vituo vya mafunzo kwa waraibu wa dawa za kulevya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema Serikali imejenga vituo maalum vya urekebu na ...