Maisha
Askari Magereza ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mpenziwe kisa mapenzi
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia na kumhoji Askari wa Jeshi la Magereza mwenye umri wa miaka 31 (jina limehifadhiwa) kwa tuhuma ...Mambo sita yanayochunguzwa na Tume Huru ya Uchunguzi wa Vurugu za Oktoba 29
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchunguzi wa Vurugu za Oktoba 29, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Chande amesema tume hiyo imepewa jukumu ...Watu 12 wakamatwa wamejificha kwenye mapango Mwanza
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iinawashikilia watu 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango mbalimbali yaliyomo mkoani humo, huku wakidaiwa ...Waziri atoa siku nne huduma ya Mwendokasi irejee kote
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe ametoa muda siku nne huduma ya mabasi ya mwendokasi irejee ...Polisi: Winfrida hajatekwa, tunamshikilia
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji limesema linamshikilia Winfrida Malembeka, na kwamba hajatekwa kama inavyodaiwa. Winfrida anashikiliwa kwa tuhuma za kuchapisha ...Mkandarasi apewa miezi miwili Barabara ya Mwenge – Tegeta ikamilike
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama ...








