Maisha
Marekani imefuta Visa ya Spika wa Bunge la Uganda kisa Sheria ya Kupinga Ushoga
Marekani imefutilia mbali visa ya Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among huku mbunge, Asuman Basalirwa akisema yeye ndiye mwathirika wa kwanza ...Mwanaume aomba mahakama ivunje ndoa yake kutokana na uzuri wa mkewe
Mwanamume mwenye umri wa miaka 40 kutoka nchini Zambia, Arnold Masuka, ameiomba mahakama kuvunja ndoa yake kutokana na urembo wa kipekee alionao ...Asimamishwa kazi kwa kukausha bwawa la maji ili kutafuta simu yake
Afisa wa serikali nchini India, Rajesh Vishwas ambaye alitoa maji kwenye hifadhi ili kutafuta simu aliyoiangusha wakati akipiga selfie, amesimamishwa kazi. Inaelezwa ...Imebainika aliyezuia Polisi wasikamate watuhumiwa Kisutu ni wakili feki tangu 2019
Kufuatia taarifa iliyosambaa kwenye vyombo vya Habari ikimuonesha mtu aliyefahamika kwa jina la Baraka Mkama ambaye alitambulishwa kama wakili aliyekuwa akiwazuia askari ...KENYA: Uchunguzi wabaini Mackenzie aliwaua waumini waliobadili mawazo au waliochelewa kufariki
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Kenya, Prof. Kithure Kindiki amesema mhubiri mwenye utata, Paul Mackenzie wa kanisa la Good News International ...Ufafanuzi wa Polisi kuhusu madai ya Kigwangalla kumpiga risasi mlinzi
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimhusisha mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata pamba kiitwacho ...