Maisha
Sasa utaweza kuhariri (edit) ujumbe unaotuma WhatsApp
WhatsApp imetangaza kuongeza kipengele kipya cha kuhariri ujumbe uliokosewa kwa watumiaji utakaonza kutumika hivi karibuni duniani kote. Mtandao huo unaomilikiwa na Meta ...Waziri Mbarawa: Miaka miwili ya Rais Samia ni neema sekta ya Ujenzi
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeweza kupiga hatua kubwa ...Uchunguzi wa watoto njiti walionyofolewa macho na ulimi wabaini wauguzi walidanganya
Uchunguzi wa tukio la watoto njiti mapacha walionyofolewa macho, kuchunwa ngozi ya paji la uso na kukatwa ulimi katika kituo cha Afya ...Kanuni mpya za LATRA kuwaadhibu abiria wanaokiuka sheria za barabarani
Abiria wanaoshiriki katika uvunjaji wa sheria na kanuni zinazoongoza vyombo vya moto na usalama barabarani wataanza kupata adhabu baada ya rasimu ya ...Tanzania yafikia makubaliano kuanza uchimbaji wa gesi asilia (LNG) Lindi
Baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kampuni za uchimbaji wa mafuta na ...Serikali yazihimiza benki kupunguza riba ili wananchi wanufaike na mikopo
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa benki nchini kuendelea kubuni madirisha maalum ya mikopo kwa vijana na wanawake ambao ...