Maisha
Waziri Nape: Polisi ondoeni huruma kwa matapeli wa mtandaoni
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kiama kwa matapeli wote wa mitandao ya simu nchini ili Watanzania ...Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi; Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo. ...Tani 1,000 za sukari isiyofaa kwa matumizi yaingizwa sokoni Kenya
Mdhibiti Mkuu wa Shirika la Viwango vya Kenya (KEBS) na maafisa wengine 26 wa serikali nchini Kenya wamesimamishwa kazi kutokana na kuingizwa ...Watumishi wa afya wasimamishwa kazi tukio la watoto njiti kung’olewa macho
Kufuatia tukio la vifo vya mapacha wawili njiti waliodaiwa kuuawa huku wakinyofolewa macho, kuchunwa ngozi ya paji la uso na kukatwa ulimi mara ...Nchi 10 zinazoongoza kwa talaka duniani
Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomuacha mwenzie. Mahakama hufikia uamuzi wa kutoa talaka baada ya kuridhika ...Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo aomba msaada wa polisi wanaohamasisha mgomo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendela kwa wafanyabiashara wa Soko hilo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi ...