Maisha
Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...Ruto: Ahadi ya kupunguza bei ya gesi haitafanikiwa
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mpango wa kushuka kwa bei ya mitungi ya gesi hadi kati ya Ksh.300 (TZS 5,150) na ...TRA: Ukamataji unafanyika tunapofanya ukaguzi kujiridhisha
Kufuatia malalamiko yanayotolewa na wafanyabiashara wa soko la Kariakoo kuhusu kamata kamata inayofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mamlaka imeeleza kuwa ...Waziri Ummy asema Serikali inafuatilia tetesi za UVIKO19
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara inachakata taarifa zilizokusanywa kutoka hospitali na vituo mbalimbali kisha itatoa taarifa endapo kuna ongezeko la ...Kilimanjaro: Wanafunzi wawili wafariki kwa kutumbukia kwenye pipa la maharage
Wanafunzi wawili wa Shule ya Sekondari Kisomachi, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamefariki dunia Mei 12, 2023 baada ya kuingia kwenye tenki ...Waliopigwa na askari wa TANAPA wapewa milioni 5
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ametoa mkono wa pole wa shilingi milioni moja kwa kila mmoja kwa wananchi watano wa ...