Maisha
Daktari aeleza tatizo la kupumua lilivyokatisha uhai wa Membe
Prof.Harun Nyagori ambaye ni Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema sababu iliyosababisha ...Kenya: ‘Yesu wa Tongaren’ awekwa kizuizini kupisha uchunguzi
Mhubiri kutoka nchini Kenya, Eliud Wekesa maarufu kama ‘Yesu wa Tongaren’, ameendelea kuzuiliwa katika kituo cha Polisi cha Bungoma kwa siku nne ...RC Homera atoa saa 24 askari wa TANAPA waliopiga wananchi wakamatwe
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kuwamkamata askari wa TANAPA wanaodaiwa kuwapiga wananchi wa ...TFF yawafungia Kitumbo na Ulimboka kujihusisha na soka maisha
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia maisha wanafamilia wawili kutojishughulisha na mpira wa miguu ambao ni ...Dkt. Mpango aiagiza TLS kuwachukulia hatua mawakili wanaopokea rushwa
Makamu wa Rais, Philip Mpango ametoa wito kwa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu ...Geita: Wapiga simu Zimamoto kuwasalimia askari
Wakazi wa Mkoa wa Geita wamekuwa na tabia ya kutumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ...