Maisha
Malawi yapiga marufuku uagizaji mahindi toka Kenya na Tanzania
Malawi imezuia uagizaji wa mahindi kutoka Kenya na Tanzania kwa sababu ya wasiwasi wa kuenea kwa ugonjwa hatari wa Mahindi, Lethal Necrosis ...Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya lugha
Lugha ni mfumo wa mawasiliano unaotumia ishara, sauti, au maandishi kwa kusudi la kuwasiliana. Barani Afrika, kuna utajiri wa lugha ikiwa na ...Mzee atuhumiwa kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake kisa wivu
Nestory John (52) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba ya mpenzi wake, Eva Stephano na ...Madhara watakayopata wanaotumia limao, flagly kukata hedhi
Hedhi hutokea kila mwezi kama sehemu ya mzunguko wa kawaida wa kibaiolojia wa mwanamke. Kwa kawaida hudumu kwa siku 3 hadi 7, ...Wazazi jela maisha kwa kumuua binti yao aliyekataa kuolewa na binamu yake
Mahakama nchini Italia imewahukumu wazazi wawili wa Kipalestina, Shabbar Abbas na Nazia Shaheen kifungo cha maisha jela kwa kumuua binti yao, Saman ...Mbeya yafunga mashine za ‘ATM’ za kujipima UKIMWI
Katika kudhibiti maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI, Mkoa wa Mbeya umefunga mashine maalum ambazo zinaruhusu watu kujipima VVU kwa hiari yao. ...









