Maisha
Trump akutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump amepatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa mwandishi wa jarida, E. Jean Carroll katika duka ...Rais Samia awaongezea muda wa miaka 15 wakazi wa Magomeni Kota
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwaongezea muda wa ununuzi wa nyumba wakazi 644 wa Magomeni Kota hadi miaka 30 ikijumuisha miaka mitano ...Serikali yatangaza jina jipya la Hospitali ya Mirembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kubadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe na kuitwa National ...Lissu: Polisi hawajanikatalia kuchukua gari langu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amepinga madai ya kuwa amekataa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kuhusu kushambuliwa na watu ambao ...Biharamulo: Walimu 6 watuhumiwa kujihusisha na biashara ya kuwauza wanafunzi kingono
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wameomba kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa walimu sita wa Shule ya ...Kenya: Mahakama yazuia akaunti 15 za benki za Mchungaji Ezekiel
Mahakama nchini Kenya imeagiza kuzuiliwa kwa akaunti 15 za benki zinazomilikiwa na Mchungaji Ezekiel Odero kwa siku 30 kutokana na shutuma za ...