Maisha
Watatu wafariki baada ya mtumbwi kuzama Ziwa Victoria
Watu watatu wamefariki dunia na wengine watatu wamenusurika katika kijiji cha Nungwe, wilaya ya Geita mkoani Geita baada ya mtumbwi wao kuzama ...Kitambaa Cheupe, Wavuvi Kempu na nyingine 80 zafungiwa kwa kusababisha kelele
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia sehemu za starehe za wazi zaidi ya 80 baada ya kukuta ...Mauaji ya Daktari Tarime: Wananchi walalamikia Jeshi la Polisi
Wakazi wa Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini mkoani Mara wameilalamikia Jeshi Polisi juu ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi wala watu waliokamatwa hadi ...Waziri Mkuu aagiza shule zifundishe zaidi kuhusu Mwalimu Nyerere
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuandaa utaratibu utakaosaidia ...Uganda: Askari 10 wakamatwa kwa kuwaibia wezi
Maafisa 10 wa polisi waliokuwa katika kituo kimoja mjini Kampala nchini Uganda, wameshikiliwa baada ya majambazi waliowakamata kufungua jalada lao wakiwatuhumu askari ...Maswali manne ya kuuliza unapotaka kununua gari kwa mtu
Kumiliki gari ni jambo ambalo vijana wengi wanatamani kutokana na adha ya usafiri hasa kwa jiji la Dar es salam. Kumiliki gari ...