Maisha
Vioja: Wavunja duka na kuiba viatu 200 vyote vya mguu wa kulia
Polisi nchini Peru wanawasaka watu watatu wanaodaiwa kuvamia duka moja katikati mwa jiji la Huancayo na kuondoka na viatu zaidi ya 200 ...Mwanasiasa afungwa kwa njama za kuiba figo
Mahakama ya London imemfunga jela miaka tisa na miezi nane mwanasiasa wa Nigeria, Ike Ekweremadu (60) baada ya kufanya njama ya kumpandikiza ...Mazoea haya ya kila siku yanaweza kuharibu figo zako
Ikiwa unataka kuishi maisha marefu, yenye afya, unahitaji kutunza figo yako. Lakini mazoea yetu ya kila siku yanaweza kuwa yanatuzuia kufanya hivyo. ...Mambo 4 muhimu ya kuzingatia kabla ya kununua pete ya uchumba
Pete ya uchumba ni alama ya upendo inayowavusha wapenzi kutoka kwenye hatua ya awali ya mapenzi na kwenda kwenye hatua nyingine rasmi ...Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaanza kutumika nchini
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kuwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2023 iliyosainiwa ...Waziri Mkuu aagiza ngo’mbe kuvishwa hereni za kielektroniki
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kurudisha utaratibu wa kuiwekea hereni za kielektroniki kwa ajili ya utambuzi na ...