Maisha
Watumishi wa afya wasimamishwa kazi tukio la watoto njiti kung’olewa macho
Kufuatia tukio la vifo vya mapacha wawili njiti waliodaiwa kuuawa huku wakinyofolewa macho, kuchunwa ngozi ya paji la uso na kukatwa ulimi mara ...Nchi 10 zinazoongoza kwa talaka duniani
Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomuacha mwenzie. Mahakama hufikia uamuzi wa kutoa talaka baada ya kuridhika ...Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo aomba msaada wa polisi wanaohamasisha mgomo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendela kwa wafanyabiashara wa Soko hilo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi ...Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...Ruto: Ahadi ya kupunguza bei ya gesi haitafanikiwa
Rais wa Kenya, William Ruto amesema mpango wa kushuka kwa bei ya mitungi ya gesi hadi kati ya Ksh.300 (TZS 5,150) na ...TRA: Ukamataji unafanyika tunapofanya ukaguzi kujiridhisha
Kufuatia malalamiko yanayotolewa na wafanyabiashara wa soko la Kariakoo kuhusu kamata kamata inayofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mamlaka imeeleza kuwa ...