Maisha
Kiama kwa Askari wanaoingiza mifugo hifadhini ili wawataifishe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameielekeza Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ufuatiliaji wa malalamiko ya wananchi kuhusu tabia ya baadhi ya wahifadhi ...Serikali yatenga bilioni 9 kukamilisha ujenzi wa vituo vya Zimamoto nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo saba vya Jeshi ...Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 376
Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 376 walioko magerezani ambapo wafungwa sita ...DAR: Baba adaiwa kuwaua watoto wake kisa hawafanani nae
Baba wa watoto watatu mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam, Kareem Chamwande anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaua watoto wake ...Wanafunzi asilimia 97 wafeli mtihani Shule Kuu ya Sheria
Matokeo ya mtihani wa Uwakili kwa wanafunzi wa Shule Kuu ya Sheria (LST) nchini yameendelea kuwa changamoto baada ya wanafunzi 23 pekee ...Serikali yatangaza mlipuko wa Kipindupindu Ilala, Dar es Salaam
Wizara ya Afya imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika halmashauri ya Ilala jijini Dar es Salaam huku watu 10 wakithibitika kuwa ...