Maisha
Upandikizaji Uloto kuwasaidia zaidi wagonjwa wa selimundu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeamua kuwekeza shilingi bilioni 2.7 ili kuanzisha huduma ya upandikizaji uloto na kupunguza gharama za matibabu ...Ishara 8 zinazoashiria uko katika uhusiano na mtu anayeaminika
Kuaminiana ni moja ya mambo muhimu katika uhusiano. Hutuwezesha kujisikia salama, hutoa ulinzi na kutusaidia kujenga na kuimarisha mahusiano. Ikiwa hamwamini mpenzi ...Kesi ya Makonda na Lemutuz ya madai ya kuiba Range Rover yafutwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta shauri la madai lililofunguliwa na mfanyabiashara Patrick Kamwelwe dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar ...Trump akutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump amepatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa mwandishi wa jarida, E. Jean Carroll katika duka ...Rais Samia awaongezea muda wa miaka 15 wakazi wa Magomeni Kota
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwaongezea muda wa ununuzi wa nyumba wakazi 644 wa Magomeni Kota hadi miaka 30 ikijumuisha miaka mitano ...Serikali yatangaza jina jipya la Hospitali ya Mirembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali inatarajia kubadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe na kuitwa National ...