Maisha
Lissu: Polisi hawajanikatalia kuchukua gari langu
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amepinga madai ya kuwa amekataa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kuhusu kushambuliwa na watu ambao ...Biharamulo: Walimu 6 watuhumiwa kujihusisha na biashara ya kuwauza wanafunzi kingono
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wameomba kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa walimu sita wa Shule ya ...Kenya: Mahakama yazuia akaunti 15 za benki za Mchungaji Ezekiel
Mahakama nchini Kenya imeagiza kuzuiliwa kwa akaunti 15 za benki zinazomilikiwa na Mchungaji Ezekiel Odero kwa siku 30 kutokana na shutuma za ...Watatu wafariki baada ya mtumbwi kuzama Ziwa Victoria
Watu watatu wamefariki dunia na wengine watatu wamenusurika katika kijiji cha Nungwe, wilaya ya Geita mkoani Geita baada ya mtumbwi wao kuzama ...Kitambaa Cheupe, Wavuvi Kempu na nyingine 80 zafungiwa kwa kusababisha kelele
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia sehemu za starehe za wazi zaidi ya 80 baada ya kukuta ...Mauaji ya Daktari Tarime: Wananchi walalamikia Jeshi la Polisi
Wakazi wa Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini mkoani Mara wameilalamikia Jeshi Polisi juu ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi wala watu waliokamatwa hadi ...