Maisha
Uganda: Askari 10 wakamatwa kwa kuwaibia wezi
Maafisa 10 wa polisi waliokuwa katika kituo kimoja mjini Kampala nchini Uganda, wameshikiliwa baada ya majambazi waliowakamata kufungua jalada lao wakiwatuhumu askari ...Maswali manne ya kuuliza unapotaka kununua gari kwa mtu
Kumiliki gari ni jambo ambalo vijana wengi wanatamani kutokana na adha ya usafiri hasa kwa jiji la Dar es salam. Kumiliki gari ...Vioja: Wavunja duka na kuiba viatu 200 vyote vya mguu wa kulia
Polisi nchini Peru wanawasaka watu watatu wanaodaiwa kuvamia duka moja katikati mwa jiji la Huancayo na kuondoka na viatu zaidi ya 200 ...Mwanasiasa afungwa kwa njama za kuiba figo
Mahakama ya London imemfunga jela miaka tisa na miezi nane mwanasiasa wa Nigeria, Ike Ekweremadu (60) baada ya kufanya njama ya kumpandikiza ...Mazoea haya ya kila siku yanaweza kuharibu figo zako
Ikiwa unataka kuishi maisha marefu, yenye afya, unahitaji kutunza figo yako. Lakini mazoea yetu ya kila siku yanaweza kuwa yanatuzuia kufanya hivyo. ...Mambo 4 muhimu ya kuzingatia kabla ya kununua pete ya uchumba
Pete ya uchumba ni alama ya upendo inayowavusha wapenzi kutoka kwenye hatua ya awali ya mapenzi na kwenda kwenye hatua nyingine rasmi ...