Maisha
Gari dogo, lori vyagongana na kuua watatu Pwani
Watu watatu wamefariki na wengine wanne wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo kugongana uso kwa uso na lori katika Kijiji cha Mbala ...Rais Samia ajiunga WhatsApp Channel
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia nchini Tanzania kwa kuwa kiongozi wa kwanza kutumia na kuthibitishwa kwenye mfumo wa mawasiliano wa WhatsApp ...Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...COSTECH yaja na bunifu za kusaidia katika matibabu
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imesema miradi ya kimkakati ya Serikali chini ya tume hiyo inalenga kuipunguzia serikali gharama ...Akamatwa kwa kuigiza ana mshituko wa moyo ili asilipe bili mgahawani
Raia wa Lithunia, Aidas J mwenye umri wa miaka 50 amekamatwa nchini Uhispania kwa madai ya kuigiza amepatwa na mshtuko wa moyo ...Makamu wa Rais ataka utaratibu wa ufanyaji usafi mwisho wa wiki urudishwe
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema ni vema utaratibu wa kutumia siku za mwisho wa juma katika kufanya usafi wa pamoja ...









