Maisha
Mwalimu aliyemuua mwalimu mwenzake Geita ajinyonga akiwa chooni
Mwalimu aliyekuwa akituhumiwa kumuua mwalimu mwenzake kwa kumchoma kisu wakiwa darasani, Samweli Abeli (35) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shati lake alipokuwa ...Mchungaji azikwa baada ya familia kusubiri afufuke kwa siku 600
Baada ya takribani siku 600 za kungoja ufufuo ambao haujawahi kutokea, mchungaji kutoka Afrika Kusini, Siva Moodley amezikwa kwa heshima katika makaburi ...Waandamanaji Kenya watawanywa kwa mabomu ya machozi
Polisi wa kutuliza ghasia jijini Nairobi nchini Kenya wamewatawanya waandamanaji na kuwakamata baadhi yao walioandamana kuipinga Serikali ya Rais William Ruto pamoja ...Fahamu aina 3 za machozi aliyonayo binadamu na kazi zake
Kwanini binadamu hulia? Hisia zako zinaweza kukufanya ulie ukiwa na huzuni, hasira au furaha. Kulia kwa sababu za kihisia kunaweza kukufanya ujisikie ...Kamanda: Mwalimu alimchoma kisu mwalimu mwenzake mbele ya wanafunzi darasani
Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka wilayani Geita, Emmanuel Chacha (35) amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake, Samwel Subi ...Madhara 5 ya kutumia choo cha kukaa
Mtu anapotumia choo cha kukaa njia yake ya kihifadhi kinyesi huwa imebanwa kiasi, hivyo hatoi kinyesi chote wakati wa kujisadia. Hali hii ...