Maisha
Viongozi wa makanisa wasema anayejiita ‘Yesu wa Tongaren’ ni tapeli
Waumini wa makasisi kutoka kaunti ya Bungoma nchini Kenya wamekemea na kulaani kitendo cha mtu anayejiita ‘Yesu wa Tongaren’ wakimtaja kuwa mtu ...Mfalme wa Hifadhi ya Serengeti ‘Bob Junior’ auawa
Simba anayefahamika kama mfalme wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, maarufu kwa jina la ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la ...Serikali kujenga njia maalum kupanda Mlima Kilimamjaro
Serikali imesema inatarajia kujenga njia mpya ya kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia Kidia ambayo itatumiwa na watalii maalum na wenye kipato kikubwa ili ...Watu 4,060 wamefariki kwa ajali za barabarani nchini tangu mwaka 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ndani ya kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya ajali zilizotokea ...Fahamu kwanini unapata fangasi ya kucha
Ni rahisi kupata maambukizi ya vimelea katika kucha, ikiwa una maambukizi ya vimelea kwenye mguu wako, fangasi inaweza kuenea na kusambaa kutoka ...