Maisha
Mwisho wa kutumia nishati ya kuni na mkaa Januari 31, 2025
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imezitaka taasisi zote za umma na binafsi Tanzania Bara zinazoandaa chakula na kulisha watu zaidi ...Mwanafunzi atolewa korodani baada ya kupigwa na walimu wake
Polisi katika Kaunti ya Kisii nchini Kenya wanawasaka walimu wa Shule ya Sekondari ya Nyabisia huko Bobasi kutokana na adhabu kali ya ...Waziri Ndumbaro: Utekelezaji wa sheria ya Plea Bargain ulikuwa na makosa
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema utekelezaji wa Sheria ya Makubaliano ya Kukiri Makosa kwa Watuhumiwa (Plea Bargain) katika ...Baba atuhumiwa kumlawiti mtoto wake wa mwaka mmoja
Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa linamshikilia Amani Martin mkazi wa kata ya Nzihi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa tuhuma za ...Bibi wa miaka 78 akamatwa kwa kupora pesa benki
Polisi katika jimbo la Missouri nchini Marekani wanamshikilia bibi wa miaka 78 kwa tuhuma za wizi katika moja ya benki nchini humo. ...Mbosso aitwa BASATA kisa Tuzo za Muziki Tanzania 2022
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kama kuna msanii ambaye hajaridhishwa na mchakato wa tuzo za Tanzania (TMA) basi afike BASATA ...