Maisha
Kenya yakodi ardhi ya kulima mahindi nchini Zambia
Waziri wa Kilimo nchini Kenya, Mithika Linturi na mwenzake wa Zambia, Mtolo Phiri wametia saini makubaliano ili kupata kati ya hekta 20,000 ...Kwanini watu huweka ‘airplane mode’ wakiwa ndani ya ndege?
Kuna sababu kadhaa kwa nini unashauriwa kuwweka ‘airplane mode’ kwenye simu yako wakati ukiwa ndani ya ndege. Kwanza ni usalama wa ndege ...Adaiwa kumuua mwenzake wakigombea maji ya kupika ili ‘kulegeza’ Swaumu
Jeshi la Polisi linamshikilia, Hassan Nyundo kwa tuhuma za kumchoma kisu na kusababisha kifo cha Amiri Mohamed (24) mkazi wa Kijiji cha ...Poda ya watoto ya J&J yadaiwa kusababisha saratani
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo sokoni poda za wawatoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani ya ...Kenya: Ugumu wa uchumi wasababisha mamilioni kukata tamaa ya kutafuta kazi
Takwimu kutoka Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu nchini Kenya (KNBS) zimebainisha kuwa theluthi mbili ya watu wasio na kazi wamekata tamaa kutafuta ...Kenya: Wananchi waacha magari majumbani kutokana na bei kubwa ya mafuta
Wakati Tanzania bei ya mafuta ikishuka, nchini Kenya matumizi ya mafuta yamepungua kwa mara ya kwanza tangu 2017, ikiashiria hali ya uchumi ...