Maisha
BAKWATA: Kifungu kinachoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kisiondolewe
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 ...TCRA yavionya vyombo vya habari kuhusu taarifa za kidini za kufikirika
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekemea vikali taarifa za kufikirika na zenye utata kuhusu imani za kidini ambazo zinaendelea kushamiri kwenye vyombo ...Nchi 10 za Afrika ambazo watu wake wana furaha zaidi
Mtandao wa kimataifa ‘Sustainable Development Solutions Network’ umetoa orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani ambako watu wake wameridhika na hali ya ...Serikali kuja na mpango wa ruzuku ya gesi ya kupikia
Waziri wa Nishati, January Makamba ametangaza kuwa Juni mwaka huu kutafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ...Taarifa ya Serikali kuhusu ugonjwa wa Marburg uliozuka Kagera na namna ya kujikinga
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema uchunguzi uliofanyika katika Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii umethibitisha uwepo wa virusi vya Marburg ...Mwalimu aliyemuua mwalimu mwenzake Geita ajinyonga akiwa chooni
Mwalimu aliyekuwa akituhumiwa kumuua mwalimu mwenzake kwa kumchoma kisu wakiwa darasani, Samweli Abeli (35) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia shati lake alipokuwa ...