Maisha
Mume ajinyonga ukweni baada ya mkewe kugoma kurudi nyumbani
Mwanaume mmoja nchini Kenya amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya jitihada za kumbembeleza mkewe kurudi nyumbani kugonga mwamba. Inaelezwa kuwa ...Maswali 5 ya kujiuliza endapo unataka kurudiana na Ex wako
Kuachana kunaweza kuwa kichocheo cha kujifunza pale ulipokosea. Wakati kutengana kunapotumika kama zana ya kujifunzia, kunaweza kukusaidia kubainisha endapo uhusiano huo unaweza ...Wachimbaji 8 wafariki kwa kufukiwa na kifusi Geita
Wachimbaji nane wamefariki dunia katika Kijiji cha Igando, Kata Magenge Halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita baada ya kufukiwa na kifusi ...Mume adaiwa kumuua mkewe na kumzika chumbani
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamfuatilia mkazi wa Manispaa ya Tabora (ambaye jina lake limehifadhiwa) anayedaiwa kumuua mkewe na kumzika kwenye shimo ...Jeshi la Polisi lawafariji wafungwa Gereza la Segerea
Askari wa Jeshi la Polisi kutoka Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) wamewafariji mahabusu na wafungwa katika Gereza la ...Kula vyakula hivi kuepuka kupata upara
Tatizo la kupungua kwa nywele na kuwa na kipara limekuwa likiwatatiza wanaume wengi. Shida hii mara nyingi huaanza wanaume katika umri wa ...